TANZANIA INDUSTRIAL RESEARCH AND
DEVELOPMENT ORGANIZATION
Mkurugenzi wa rasilimali watu na utawala wa TIRDO (wa kwanza kushoto) akipata maelezo juu ya uoteshaji wa uyoga, katika hafla ya kufunga mradi wa OKOA MUSHROOM ambao ulikuwa unatekeleza na TIRDOkwa udhamini wa BIO-INOVITE
Bidhaa zilizotengenezwa kutokana na uyoga ili kuliongezea thamani zao hilo.