TANZANIA INDUSTRIAL RESEARCH AND
DEVELOPMENT ORGANIZATION
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara ilipotembelea Shirika la Utafiti na Maendelea ya Viwanda (TIRDO) tarehe 15.03.2022 ili kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayo tekelezwa na shirika.